HIVI NDIVYO NILIVYO NYWESHWA MADAWA NA KUFANYiSHWA NGONO BILA HIARI YANGU,,,,CHECK HAPA

Siku moja tulipanga kwenda out,
tulifanya hivyo na baadae tulichukua chumba hotel fulani, usiku huo
tulichezeana kila mahali tulifanya kila kitu ila nilikataa kufanya
mapenzi. Alinichezea nami nilimchezea yani ulikuwa ni usiku mzuri sana.
Asubuhi yake alinikodishia Tax Nakunipeleka nyumbani
Kumbe kipindi chote hicho mke wake
alikuwa amesafiri, Siku hiyo alinipigia simu akaniambia kuwa anapanga
safari ya kwenda beach na wenzake ambako tutaenda wote na kulala huko.
Ilikuwa ni siku ya juma mosi tulienda kwenye ufukwe huo na kukodisha
boat nakula raha sana. Nilipata tetesi kwamba jamaa ameoa ila nikasema
sio mbaya kwani pia sio mtu mbaya. Siku hiyo tulikunywa pombe sana.
Ilipofika majira ya saa sita hivi usiku sikuwa na kumbukumbu tena
nilishiktuka asubuhi na kukuta nimezungukwa na condom zilizotumika
nikiwa peke yangu chumbani huku nikiwa nasikia maumivu makali sana
sehemu zangu za siri. Kumbe yeye na marafiki zake walinifanya usiku ule
wote
Nilitokwa na mchozi sikuamini. Nilijuta
sana hata niliporudi shule Sikuweza kufanya vizuri kabisa. NAWAONYA
WANAWAKE WENZANGU KUWENI MAKINI SANA credit-theclick
0 comments: