YANGA YATOA KIPIGO KWA RUVU SHOOTING, YAIFUNGA MABAO 7 BILA
Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, imefanya mauaji kwa Timu ya Ruvu Shooting, imeikandamiza mabao 7-0. Ruvu Shooting Wafungaji
wa mabao ya Yanga, hivi punde ni Emmanuel Okwi, ambaye amepiga 1 mpaka
sasa, Ngassa 1, Kavumbagu 2, Msuva 2 na Kiiza 1.
0 comments: