HEMED PHD NA MSANII NAJMA WAKIFANYA YAO...!JIONEE MWENYEWE HAPA...!!!
Usiku
wa Kuamkia Tarehe 27 Feb 2014 tumekutana na hizi picha za
Hemedy akimbusu msanii wa muziki na filamu Najma na maneno yalioambatana
na picha hizo yakizungumzia ndoa na harusi.
Sammisago.com imethibitisha kuwa picha hizi zimetokana na scene za filamu wanayoigiza pamoja na kuwa Hemedy sasa ni Mwanaume wa mwanamke mmoja tu.
![]() |
HII NDIO PICHA YA HEMEDI NA MPENZI WAKE WA UKWELI |
0 comments: