HUYU HOUSEGIRL SIMTAKI, HAJUI KUPIKA WALA KUFAGIA, ATAKAYEMHITAJI ATOE COMMENT HAPA TUWASILIANE ILI NIMKABIDHI! -

KATIKA MAHAUSGELO bom huyu wa kwanza hajui kupika wala kufua, sioni
sababu hata moja ya kumlipa hii alfu hamsini kwa mwezi, anaemtaka
anambie kwenye comment nimkabidhi maana nilimtoa kijijini kwao
alipomaliza la saba nikajua atanisaidia kumbe hakuna kitu. Nirudishiwe
nauli tu ya kumtoa kijijini. Asante kwa kunisikiliza
0 comments: