KUMBE WASANII WAKIKE WANAOENDA NJE YA BONGO KUFANYA MATANUZI WANAKUWA WAMEFANYA BIASHARA YA KUJIUZA

wanaoenda huko nje sababu ya kufanya
shopping ni uongo mtupu maana ...(akataja jina la msanii mkubwa wa kike)
alishawahi kwenda huko tena alienda kwa ajili ya kigogo mmoja hapa
nchini ambaye alitaka wakutane huko Dubai kwa ajili ya mapenzi ndipo
akapata fulsa ya kufanya na shopping baada ya kupewa pesa na kigogo
huyo" Alisema rafiki huyo kama kawaida ilitaka kujua ukweli mzima upoje
inakuwaje wanaenda nje kufanya hizo shopping na ni kwa kipato gani
wanachopata maana kila siku wanalia kuwa wasanii maisha ni magumu sasa
inakuwaje wanaweza kwenda nje ya nchi kufanya matanuzi tu?? rafiki huyo
alifunguka na kusema tena "Ulishawahi
kumuona msaniii gani wa kiume kaenda kufanya shopping nje ya nchi??
jibu ni hakuna na wao ndiyo wanapata pesa nyingi sana kuliko hao wa
kike. wasanii wa kike wengi wao wanajiuza kwa vigogo ndiyo maana
wanapata hiyo jeuri ya kufanya matanuzi hayo nje ya nchi"

crew yetu ilizidi kumuuliza rafiki huyu wa msanii mkubwa hapa tz kuhusu hilo swala naye bila hiyana aliendelea kufunguka "Hapa
bongo kuna vigogo wakubwa sana wenye pesa zao sasa huwa wanatafuta
wasanii wakike wenye tamaa kwa ajili ya kwenda kufanya nao mapenzi ila
vigogo hao wanaogopa sana mapapalazi kwahiyo huwa wanawachukulia kila
kitu kuanzia usafiri pamoja na malazi katika nchi watayofikia na lengo
likiwa ni kufanya mapenzi tu"

Ilibidi tumtafute msanii wa kike ambaye
anaweza kufunguka juu ya suala hili ndipo tulipompata Snura na hivi
ndivyo alivyofunguka baada ya kumuuliza "Ni kweli wasanii wengi wa kike wanatabia hiyo na wengi wao wanajiuza kweli, ninawafahamu kadhaa ila siwezi kuwataja" alimaliza snura kwa kusema hayo
0 comments: