NAY WA MITEGO NDANI YA SKENDO NZITO YA KUVUNJA PENZI LA ALLY TIMBULO KWA SKAINA -
Skyner Ally ‘Skaina’.
CHIPUKIZI wa Bongo Fleva, Ally Timbulo amefunguka kuwa alimwagana na
mwigizaji Skyner Ally ‘Skaina’ kwani aligundua kuwa ana uhusiano na
Mbongo Fleva mwenzake, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. ‘Akikonfesi’ mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda, Timbulo alisema ishu hiyo ilitokea miaka kadhaa iliyopita ambapo ‘alimsarendia’ mlimbwende huyo ili awe mpenzi wake na aliposhtuka kuwa ana uhusiano na Nay wa Mitego, fasta alibadili uelekeo.

0 comments: